4.8
642 条评分
★★★★★
2023年1月30日
2015年4月6日
更新内容
v3.1Bug fixes and performance improvements
应用信息
- 开发者
- Oleg Shukalovich
- 分类
- Book
- 价格
- 免费
- 版本
- 3.1
- App ID
- 980260971
简介
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) with King James Bible English Version Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu". Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale". Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake. Agano la Kale Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu. Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki. Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi. Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni. Agano Jipya Kuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu. Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane.
下载量预测
预估总下载量
238
低 / 月
352
预估 / 月
679
高 / 月
基于评分数量 ÷ 类别评分率估算,实际下载量误差可达 ±50%,与 Sensor Tower 方法一致。
竞品分析
同类别 · 排行榜竞品平均
4.7
你: 4.8
竞品平均
4d
你: 1202d
竞品平均
182.4M
你: 48K
Biblia Takatifu-Swahili Bible
你4.8
48K
预估下载
Instants, an Instagram app
4.7
52K
预估下载
ChatGPT
4.8
725.8M
预估下载
Claude by Anthropic
4.7
13.9M
预估下载
Netflix Game Controller
4.6
2.5M
预估下载
Google Gemini
4.7
169.7M
预估下载
下载数据为预估值 · 每6小时更新